4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Rocky Dawuni
Results: 1 to 1 of 1
 • Rocky Dawuni

  CountryGhana
  Genresreggae roots afrobeat
  Website

  www.cumbancha.com/rockydawuni

  FestivalSauti za Busara 2017
  Rocky Dawuni
  Rocky Dawuni

  Rocky Dawunini mwana muzikina mwana harakati anaetokea Ghana, lakini muziki wake unatohoa kutoka nchi nyingi za kiafrika, Marekani na hadi visiwa vya Karibian.  Madhumuni ya kuchanganya muziki kama hivi ni kuifanya sanaa yake hii iwe na mvuto zaidi na kila mtu aishabikie.

  Kituo cha Televisheni cha CNN kimemtambua Rocky Dawuni kuwani mmoja wa magwiji 10 wa muziki kutoka Afrika. 

  Rocky Dawuni ameshapiga muziki jukwaani akiwa na Stevie Wonder, Peter Gabriel, Bono, Jason Mraz, Janelle Monae, na pia John Legend.  Rocky Duwani anapenda muziki wa Fela Kuti, Bob Marley na pia Michael Franti, K’naan na Matisyahu.

  Albamu ya sita (6) ya Rocky Duwani inaitwa “Branches of the Same Tree” iliyotoka mwaka 2015 ilipendekezwa kwenye tuzo za Grammy kama albamu bora ya reggae.  Nyimbo yake African Thrillerimekuwa inasambaa na kupendwa sana.