4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Sami Dan
Results: 1 to 1 of 1
  • Sami Dan & Zewd Band

    Country  Ethiopia
    Genres roots reggae
    Website www.samidanmusic.com
    FestivalSauti za Busara 2017
    Recordings📼

    Kerase Gar Negeger, 2016

    Sami Dan & Zewd Band
    Sami Dan & Zewd Band

    Samuel Berhanu, anajulikana sana kwa jina lake jengine kama Sami Dan.  Yeye nimhandisi lakini muziki ndio kazi yake kubwa anayoipenda tangu zamani.  Alianza kujifunza muziki tangu alipokuwa sekondari na akawa kwenye kikundi cha “Hasset Acoustic Band” kwa muda wa miaka mitatu Pia alipata nafasi ya kujiunga kwa mwaka mmoja na kundi la Sydney Solomon’s Imperial Ban.

    Mwaka 2014 akaanzisha kikundi chake cha Zewd Acoustic Band na wakatoa nyimbo nne kama promosheni, ambapo nyimbo zake mbili; Anchi Yenena Shegitu,zilitamba redioni kwa kipindi kirefu.Albamu yake ya mwanzo inaitwaKerase Gar Negegerni albamu ya reggae ina nyimbo 13.  Nyimbo zake zinalenga kwenye mapenzi, uhuru, umoja, furaha na utu.

     

    Ethiopian_Airlines_logo-WEB
    with thanks to Ethiopian Airlines