4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > SinaUbi
Results: 1 to 1 of 1
  • SinaUbi & Zawose Spirit Group

    Country  Tanzania
    Genres acoustic traditional roots fusion
    Facebook /SinaUbi
    FestivalSauti za Busara 2020
    Recordings📼

    Wichimaje, 2019

    MWANA | Zawose Spirit Group with SinaUbi Zawose

    SinaUbi & Zawose Spirit Group
    SinaUbi & Zawose Spirit Group

    Urithi wa Dk Hukwe Ubi Zawose unaendelea kuishi. Dr Hukwe ni mmoja ya wanamuziki wakongwe nchini Tanzania ambaye aliweza kuzunguka ulimwengu kwa ajili ya Sanaa ya muziki. Kundi la SinaUbi & Zawose Spirit linaweka daraja linalounganisha vizazi vya zamani na vya sasa kutoa mchanganyiko mpya na wa kipekee wa muziki wa jadi na wa kisasa wenye ujumbe wenye nguvu unaoimbwa katika lahaja za Kiswahili na za Kigogo. Wanachanganya ilimba, zeze, ngoma na vyombo vingine vya jadi vyenye asili ya kigogo pamoja na mbinu za ajabu za sauti. Kikundi cha Zawose Spirit Group kinaendelea kuheshimu urithi wa utajiri wa kipekee wa familia hii.