4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Stone Town Rockerz
Results: 1 to 1 of 1
  • Stone Town Rockerz

    Country  Zanzibar
    Genres blues pop rock reggae
    Facebook /omollo12
    Instagram 
    FestivalSauti za Busara 2019, 2021, 2023
    Recordings📼Kuna Kichwa, 2019

    Zanzibar - Stone Town Rockerz

    Stone Town Rockerz
    Stone Town Rockerz

    Stone Town Rockerz ina waimbaji wa bendi kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania Bara na Zanzibar, waliokutana na kujiunga katika Chuo cha Muziki cha Dhow Countries. Kwa mchanganyiko wa kitamaduni, hii hufanya muziki wao kuwa wa kipekee kwani wao pia huchanganya midundo ya ndani ,afrobeat na Latino na mitindo ya kimagharibi kama vile roki, jazz na roots reggae.

    Ikipata hamasa kutoka kwa Remmy Ongala, Siti bint Saad, Bi Kidude, Miriam Makeba, Fela Kuti, B.B King, Bob Marley na Ali Farka Toure, bendi hiyo inapiga nyimbo zinazozungumza vyema na watu wa Afrika Mashariki na kwingineko. Wamewahi kutumbuiza katika matamasha mbalimbali ikiwemo Sauti za Busara, Paza Festival, Marafiki na Mashariki.

    “Stone Town Rockerz remind me of Mali’s famous orchestra, Les Ambassadeurs. The lead singer looks dapper in his white linen shirt and trousers, black Homburg and natty dreads, as he serves up his honey-soaked tunes straight from the poppier end of the Motown spectrum. The music feels light, easy, delightful, like the islands that gave it birth”. – Andy Morgan, The Arts Desk