4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Tumi
Results: 1 to 1 of 1
 • Tumi & The Volume

  Country  South Africa
  Genres band hiphop funk jazz
  Website www.thevolume.co.za
  FestivalSauti za Busara 2012
  Recordings

  At The Bassline (2004); Tumi And The Volume (2006); Pick A Dream (2010)

  Tumi and the volume - Asinamali

  Tumi & The Volume
  Tumi & The Volume

  Miaka kumi sasa tangu kundi la Tumi & The Volume lenye maskani yake mjini Johannesburg kuanzishwa na kuwa bendi, tangu wanapiga nyumbani tu mpaka sasa wanajulikana kimataifa.

  Kundi la Tumi & The Volume liaongozwa na MC Tumi Molekane, mpiga ngoma Paulo Chibanga, mpiga gitaa Tiago Correia-Paulo na mpiga gitaa la besi Dave Bergman. Tumi aliwapagawisha vilivyo wapenzi wa soka kwenye sherehe za ufunguzi wa fainali za kombe la dunia afrika ya kusini mwaka 2010 pale alipofanya onyesho na bingwa wa miondoka ya pop duniani Shakira. Ana albamu mbili ya kwanza aliitoa mwaka 2008 yenye jina My Good Eye (jicho langu zuri) na ya pili mwaka 2010 yenye jina Whole Worlds (dunia nzima)

  Alichaguliwa kuwania tuzo ya mwanamuziki bora wa Afrika ya kusini (SAMA), mtazamo wao na maonyesho yao ya nguvu pamoja usikose kuyaona katika tamsha la tisa la Sauti za Busara 2012.