4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Tune Recreation Committee
Results: 1 to 1 of 1
 • Tune Recreation Committee

  Country  South Africa
  Genres jazz
  Website www.tunerecreation.com
  Facebook /tunerecreationcommits
  FestivalSauti za Busara 2019
  Recordings

   Voices of Our Vision, 2017

  'Hop n Skop' Tune Recreation Committee

  Tune Recreation Committee
  Tune Recreation Committee

  Tune Recreation Committee ni kundi watu watano machachari likijumuisha na baadhi ya wanamuziki kutoka Cape town. Wapo katika hadhi ya juu kwenye tasnia ya muziki wa Jazz nchini Afrika Kusini, Tune Recreation Committee huchanganya melodi mbalimbali kama ngoma, dram na gitaa la bass ili iweze kuvutia zaidi.

  TRC walitoa albamu yao ya kwanza waliyoipa jina la ‘Voices of Our Vision’ ilichaguliwa kuwa albamu bora ya New York Time 2017 na vile vile kupata tuzo ya South African Music Award kama Albamu bora ya Jazz. Vilevile ilipata nafasi ya juu katika chati za Busara Promotions kama Albamu bora 2017, mwaka huohuo walifanya onyesho katika tamasha la 18 la Cape Town International Jazz Festival.

   

  Kundi linaongozwa na Mandla Mlangeni ambaye anapiga tarumbeta, Clement Benny, dram, Nicholas Williams, bass, Reza Khota, Gitaa, Afrika Mkhize, piano, Mark Fransman, tarumbeta, filimbi na akodion.

  Tune_Recreation_Committee
  With thanks to UWC, CHR & Standard Bank