4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Yaaba Funk
Results: 1 to 1 of 1
 • Yaaba Funk

  CountryUK
  Genresafrobeat band
  Website

  www.yaabafunk.com

  FestivalSauti za Busara 2011
  Recordings

  Afrobeast (2010)

  Yaaba Funk
  Yaaba Funk

  Wanaeleweka kuchana majukwaa kumbi za starehe kwa staili yao ya Mziki wenye nguvu mchanganyiko wa afro funk beats nchini Uingereza. Ni wanamuziki kutoka Uingereza kitongoji cha Brixton London kusini, wanachama wote wa bendi hii walikutana London miaka ya tisini. Ni katika mandhari ya ngoma za kiafika nchini Uingereza ambapo wapigaji wakiaafrika hukusanyika na ndipo Yaaba funk walikutana na kuaanza kufanya mazoezi pamoja. Kundi lilianzishwa rasmi mwaka 2006 likiwa na wanachama marafiki kutoka Ghana, Marekani, Martinique, Jamaica Italy na Germany. Uanzilishi wa kundi hili ndio ulianzisha aina mpya ya Mziki ujulikanayo kama Punky Afro Roots ya karne ya 21!