Grace Barbé
Country Seychelles Genres afrobeat band fusion rock roots Website www.gracebarbe.com Festival Sauti za Busara 2017 Recordings 📼 Kreol Daughter, 2009; Welele! 2014
Grace Barbe anatokea visiwa vya Ushelisheli ambavyo vipo kwenye ukanda wa bahari ya Hindi. Vsiwa hivi vina asili na mchanganyikowa mambo mengi yanohusiana na maharamia, utumwa, na mapinduzi ya kisiasa, na kama visiwa vilivyo vina minazi mingi. Mchanganyiko huu umejenga aina ya kipekee ya mila,desturi na lugha yao ya ki Kriol ambayo imechanganya mambo yote hayo.
Muziki wa Grace Barbe unatokana na miziki yenye asili ya tangu zama za watumwa, na anachanganya na mziki wa rock, reggae na mziki wa kizazi kipya.
Grace anapiga bass guitar na mdogo wake wa kike anaeitwa Joelle anapiga ngoma kwenye kikundi hicho. Mpiga guitar ni Jamie Searle.
Muziki wa Grace Barbe umekuwa ukiwatumbuiza wapenzi wa muziki tangu alipotoa albamu yake ya Kreol Daughter hapo mwaka 2009, ambapo pia alifanya maonyesho yake kwenye visiwa vya bahari ya hindi, alikwenda nchini India, na huko nchini Australia alishiriki kwenye matamasha makubwa mengi kama Womadelaide, WOMAD ya New Zealand, Byron Bay Bluefest na hata tamasha la Woodford.
Barbe ni mshindi mara sita (6) wa tuzo ya ‘kikundi bora duniani’, ambayo hutolewa kwenye jimbo analoishi la Australia ya Magharibi.
Grace Barbe, anapenda kuendeleza na kufanya maonyesho yake ya kuitukuza asili ya ki Kreol, hivi sasa yumo ziarani kutangaza albamu yake ya Walele!
with thanks to Afrotropik
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava