Rocky Dawuni
Country Ghana Genres reggae roots afrobeat Website www.cumbancha.com Festival Sauti za Busara 2017 Rocky Dawunini mwana muzikina mwana harakati anaetokea Ghana, lakini muziki wake unatohoa kutoka nchi nyingi za kiafrika, Marekani na hadi visiwa vya Karibian. Madhumuni ya kuchanganya muziki kama hivi ni kuifanya sanaa yake hii iwe na mvuto zaidi na kila mtu aishabikie.
Kituo cha Televisheni cha CNN kimemtambua Rocky Dawuni kuwani mmoja wa magwiji 10 wa muziki kutoka Afrika.
Rocky Dawuni ameshapiga muziki jukwaani akiwa na Stevie Wonder, Peter Gabriel, Bono, Jason Mraz, Janelle Monae, na pia John Legend. Rocky Duwani anapenda muziki wa Fela Kuti, Bob Marley na pia Michael Franti, K’naan na Matisyahu.
Albamu ya sita (6) ya Rocky Duwani inaitwa “Branches of the Same Tree” iliyotoka mwaka 2015 ilipendekezwa kwenye tuzo za Grammy kama albamu bora ya reggae. Nyimbo yake African Thrillerimekuwa inasambaa na kupendwa sana.
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava