Sami Dan & Zewd Band
Country Ethiopia Genres roots reggae Website www.samidanmusic.com Festival Sauti za Busara 2017 Recordings 📼 Kerase Gar Negeger, 2016
Samuel Berhanu, anajulikana sana kwa jina lake jengine kama Sami Dan. Yeye nimhandisi lakini muziki ndio kazi yake kubwa anayoipenda tangu zamani. Alianza kujifunza muziki tangu alipokuwa sekondari na akawa kwenye kikundi cha “Hasset Acoustic Band” kwa muda wa miaka mitatu Pia alipata nafasi ya kujiunga kwa mwaka mmoja na kundi la Sydney Solomon’s Imperial Ban.
Mwaka 2014 akaanzisha kikundi chake cha Zewd Acoustic Band na wakatoa nyimbo nne kama promosheni, ambapo nyimbo zake mbili; Anchi Yenena Shegitu,zilitamba redioni kwa kipindi kirefu.Albamu yake ya mwanzo inaitwaKerase Gar Negegerni albamu ya reggae ina nyimbo 13. Nyimbo zake zinalenga kwenye mapenzi, uhuru, umoja, furaha na utu.
with thanks to Ethiopian Airlines
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava