Ze Spirits Band
Country Tanzania Genres band fusion Website /Ze-spirits-band-456702374465159 Festival Sauti za Busara 2017 Recordings 📼 Safari, 2014; Mwizi, 2014
Ze Spirits Band ni kikundi cha wanamuziki mahiri ambao walianza pamoja tokea wakiwa wadogo,walipokuwa wana miaka saba hadi kumi tu. Sasa wanamuziki hawa wanaumri wa miaka 18 na kwenda juu. Walianza muziki umri huo mdogo chini ya ulezi wa Vitali Maembe huko Chuo Cha Sanaa cha Bagamoyo.
Muziki wao unatokana na ngoma za jadi na asili japokuwa wanaimba nyimbo mpya na wanachanganya na muziki wa kizazi kipya. Wanapokuwa jukwaani wao huwafurahisha na kuwachangamsha watazamaji wao.
Kikundi hichi kina wasanii sita kwa sasa na wameshiriki kwenye matamasha mengi hapa Tanzania kama vile tamasha la Bagamoyo, Tamasha la Beat, Tamasha la Karibu, na pia kufanya maonyesho yao hapo Alliance Francaise na Chap Chap Event hapo Dar es Salaam.
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava