The Mafik
Country Tanzania Genres band pop bongo flava Website www.kwetustudios.co.tz Facebook /TheMafikTz Festival Sauti za Busara 2020 Recordings 📼 Passenger, 2018; Carola, 2018; Sheba, 2018; Niwaze ft Ruby, 2018; Dodo, 2018; Sio Mbaya ft Ben Pol, 2018; Nibebe, 2018; Bobo, 2019
The Mafik ni bendi ya afropop ya kitanzania kutoka Dar es salaam ambayo ilianzishwa mnamo mwaka 2018. Tayari kundi hilo lina safu ya nyimbo maarufu ambazo ni pamoja na Passenger, Sheba, Niwaze (ft Ruby), Dodo, Sio Mbaya ft Ben Pol, Nibebe na Bobo. The Mafik wamefanya maonyesho kote nchini Tanzania na pia huko Ubelgiji na Afrika Kusini.
Mnamo Agosti 2019, janga liligonga kikundi hicho, mwili wa Abdallah Yusuf Matimbwa aka Mbalamwezi, mmoja wa waasisi wa kundi ulipatikana kwenye mitaa ya Dar es salaam ukiwa ni maiti. Ilionekana alikuwa mwathirika wa mauaji ya kikatili. Mpaka wakati makala hii inaandikwa, uchunguzi wa polisi bado unaendelea.
Nafsi yake ipumzike kwa amani!
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava