Shirikisho Sanaa Group
Country Zanzibar Genres traditional roots Festival Sauti za Busara 2010, 2012, 2015 Mwaka 2005 vijana wawili wenye vipaji vya sanaa Mussa Ramadhani na Juma Ally walipata wazo la kuanzisha kikundi ili kujitengenezea ajira. Walitengeneza kikundi cha wanaume 5 na wanawake 3, wakicheza Ngoma mbalimbali zenye asili ya Zanzibar na kusini mwa Tanzania, na hatimaye kundi likakuwa kwa haraka.
Nguvu, ubunifu na mchanganyiko wa Ngoma mbalimbali ilikuwa ni sababu tosha ya kupata mialiko ya kufanya maonyesho kwenye matamasha na au kwenye hafla nyingine katika maeneo mbalimbali Zanzibar. Maonyesho yao yanajumuisha ngongoti, kuvaa vinyago vya kimakonde, kucheza na moto, na vilevile wanaume na wanawake hucheza Ngoma mbalimbali za mikoa ya kusini mwa Tanzania.
Miongoni mwa ala za mziki wanazozitumia ni Ngoma, zumari, filimbi, kengele na mapembe.
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava