Skuli ya Kiongoni
Country Zanzibar Genres roots traditional Festival Sauti za Busara 2012 Kikundi kinamilikiwa na shule ya msingi Kiongoni iliyopo kusini mwa Zanzibar kunakojulikana kwa jina la Makunduchi, kundi lilianzishwa rasmi mwaka 2001.
Shule ina darasa maalumu kwa ajili ya mafunzo ya ngoma za asili, hufundisha aina ya ngoma tofauti kutoka zanzibar na Tanzania kwa ujumla.
Katika kufanikisha kuweka sifa yake nchi nzima kila mwaka shule ya kiongoni inaalikwa kufanya onyesho katika sherehe mablimbali. Mwaka 2006 walishiriki katika mashindano ya shule za zanzibar na kufanikiwa kushinda, mwaka uliofuata walialikwa na chama tawala kwa ajili ya kwenda kuwaburudisha wabunge katika bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania na mwaka 2009 walikwenda kuwaburudisha Meya katika mkoa wa Dodoma. Vilievile ni miongoni mwa vikundi vilivyoshiriki katika shindano la ngoma lililoandaliwa na Busara Promotions na kupata kupata nafasi ya kushiriki kwenye Tamasha.
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava