Mkota Spirit Dancers
Country Zanzibar Genres ngoma roots Festival Sauti za Busara 2012 Mkota Spirit Dancers ni kikundi cha ngoma za muziki wa asili kutoka Zanzibar katika kisiwa cha Pemba, hufahamika sana kama wasanii wenye juhudi na maarifa kutoka Zanzibar. Tangu mwaka 1985 wanaendelea kuwateka mashabiki kwa aina yao ya kipekee ya uchezaji ikiwemo gonga, kyaso, boso na aina yao ya uchezaji ijulikanayo kama kumbwaya. Upigaji wa ngoma na uchezaji wakiwa wamevaa mapembe ya ng’ombe.
Maonyesho yao huwasafirisha kihisia watazamaji mpaka katika kisiwa cha Pemba chenye utajiri wa utamaduni. Kikundi chenye watu 13 watafanya onyesho katika tamasha la Sauti za Busara 2012, na wameahidi onyesho lao si la kukosa.
Muonekano wao katika tamasha la Sauti za Busara umewezeshwa na Swahili Performing Arts Center ikishirikiana na ZanAir.
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava