Wamwiduka Band
Country Tanzania Genres roots acoustic Website www.wamwiduka.com Facebook /Wamwiduka Festival Sauti za Busara 2019, 2022 Recordings 📼2019 - Ni Wewe (Single) 2018 - Kilingeni (Single) 2015 - Mama Wema (Single) Wamwiduka Band ni wanamuziki ngoma za asili kutoka Mbeya, Tanzania.
Band ilianziishwa mwaka 2012, ikimjumuisha Brown Isaya (Muimbaji Kiongozi), Adriano Wilson (Mpiga Gitaa na Banjo), Zakaria Michael (Muimbaji na Mpiga ala) and Peter Mashaka (bass na babatoni). Katika kundi hili hakuna hata mwenye elimu ya upili kwahiyo wametumia muda wao katika kujifunza muziki, kuimba na kupiga ala pamoja na kucheza. Muziki ilikuwa ndio njia yao mahsusi ya kujiepusha kutokuchanganyikiwa kwa kutokuwa na ajira.
Iliwashtua sana walipoanza kupata mialiko ya kufanya maonyesho jukwaani. Muziki wa Wamwiduka Band huchanganywa na gitaa, babatone na sauti za kiasili ambazo hukufanya ufurahi na kucheza.
Bendi ilifanya onyesho kabambe katika tamasha la Sauti za Busara 2019, kwa sasa bendi imeshajipatia umaarufu ukanda mzima wa Afrika Mashariki na kufanya maonyesho mara kwa mara katika sehemu za kijamii kama vitua vya basi, masokoni na baa.
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava