4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: Festival Line-up > 2022
Results: 2 to 2 of 19
  • Sholo Mwamba

    Country  Tanzania
    Genres electro singeli fusion
    Website www.musicinafrica.net
    Instagram /officialsholomwamba
    FestivalSauti za Busara 2022, 2024

    Sholo Mwamba Ft. Easy Man - Dundo (Official Video)

    Sholo Mwamba
    Sholo Mwamba

    Sholo Mwamba ni mwanamuziki aliyeshinda tuzo nyingi katika Singeli, mtindo wa muziki wa aina mbalimbali na ulizaliwa katika mitaa ya Dar es Salaam na kumfanya kuwa kioo kwa wasanii wengine wa Singeli nchini Tanzania na kuifanya aina hii ya muziki kuwa sauti ya Kitanzania.

    Utumbuizaji wake mahiri ,mavazi yake jukwaani, pamoja na uwasilishaji wake wa sauti, vimekuwa muhimu katika kufafanua Singeli.

    Umaarufu wake ulioenea nchini mwake na katika eneo zima la Afrika Mashariki umemshuhudia akitumbuiza kwa mashabiki mitaani pamoja na katika shughuli zilizojumuisha wakuu wa nchi na matamasha makibwa kimataifa.