Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava
Artists: Festival Line-up > 2022
Results: 2 to 2 of 19
Results: 2 to 2 of 19
Sholo Mwamba
Country Tanzania Genres electro singeli fusion Website www.musicinafrica.net Instagram /officialsholomwamba Festival Sauti za Busara 2022, 2024 Sholo Mwamba ni mwanamuziki aliyeshinda tuzo nyingi katika Singeli, mtindo wa muziki wa aina mbalimbali na ulizaliwa katika mitaa ya Dar es Salaam na kumfanya kuwa kioo kwa wasanii wengine wa Singeli nchini Tanzania na kuifanya aina hii ya muziki kuwa sauti ya Kitanzania.
Utumbuizaji wake mahiri ,mavazi yake jukwaani, pamoja na uwasilishaji wake wa sauti, vimekuwa muhimu katika kufafanua Singeli.
Umaarufu wake ulioenea nchini mwake na katika eneo zima la Afrika Mashariki umemshuhudia akitumbuiza kwa mashabiki mitaani pamoja na katika shughuli zilizojumuisha wakuu wa nchi na matamasha makibwa kimataifa.