4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: A - Z > O
Results: 12 to 12 of 13
 • OY

  Country  Ghana Switzerland
  Genres spoken word urban
  Website www.oy-music.com
  FestivalSauti za Busara 2014
  Recordings

  KOKOKYINAKA (2013), FIRST BOX THEN WALK (2010)

  OY - "Market Place" (live at Mama Festival)

  OY
  OY

  Joy Frempong a.k.a Joy alizaliwa mwaka 1978 katika Manispaa ya Mji wa Bolgatanga nchini Ghana. Joy ana asili ya Nchi mbili Ghana na Uswiz. Joy ana kipaji cha utunzi na uimbaji nyimbo tofauti. Miaka mitatu baada ya kutoa albamu yake ya kwanza ambayo iliuzwa kwa mafanikio sana na kusababisha kupatikana na ziara ya kimuziki. OY amekuja tena na KOKOKYINAKA. JJoy hubadilika kiusanii kila muda anaoonekana jukwaani kwenye maonyesho yake kama Mali, Burkina Faso, Ghana na Afrika ya Kusini. Uandaaji wa albamu zake hufanywa mjini Berlin, nchini Ujerumani chini ya uangalizi wa Muandaaji machachali na mwenye kipaji Lleluja-Ha. KOKOKYINAKA ndiyo iliyodhihirisha uwezo na kipaji chake katika muziki kwenye uimbaji na utunzi.

  SDC_RGB_hoch_pos
  With thanks to Swiss Agency for Development and Cooperation