4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: Most Popular
Results: 13 to 13 of 407
 • Sousou & Maher Cissoko

  Country  Senegal Sweden
  Genres band jazz roots traditional
  Website www.sousoumaher.com
  FestivalSauti za Busara 2011, 2013
  Recordings

  Adouna (2008); Stockholm - Dakar (2011)

  Sousou & Maher Cissoko: Idong (official video)

  Sousou & Maher Cissoko
  Sousou & Maher Cissoko

  Wanamziki hawa wawili wanatambulika kuwa uimbaji wao uliojawa maelezo na mwendo mziki wakitofauti. Na si kama bendi nyingine Sousou na Maher wanakuletea mziki wenye ladha ya Afrika Magharibi tangu kuifungua Albam yao 2008, inaitwa Adouna. Wameshafanya maonyesho mbalimbali katika nchi za Scandinavia, Senegali na Afrika Kusini. Maher Cissoko ametokea katika familia ya wanamziki wakongwe na kurithishwa ala hii ya kora kutoka kwa wazee wake. Mwanadada Sousou Cissoko ni mwanamziki wa kipekee wa kike anaeshikilia rekodi hiyo mpaka leo. Bendi hii inajumuisha wasanii kutoka nchi kama Senegali na Sweden ambao niwapigaji wa magitaa, percussion na bass.

  swedish-council-
  With thanks to Swedish Arts Council