4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: Genre > coastal
Results: 14 to 14 of 17
  • Tandaa Traditional Group

    Country  Zanzibar
    Genres coastal fusion traditional
    FestivalSauti za Busara 2012
    Tandaa Traditional Group
    Tandaa Traditional Group

    Ni mchanganyiko wa kustaajabisha wa vifaa vya muziki, kundi hili limeanzishwa mwaka 2011 na kubiniwa aina yake ya kipekee ya muziki. Mtunzi na kiongozi wa kundi ni Juma Begu.

    Mtengenezaji na mpigaji maarufu wa tandaa, Juma Begu ameshaalikwa kufanya maonyesho sehemu mbalimbali ya Zanzibar na nje ya Zanibar kama Hispania, Ufaransa, Sweden na Uholanzi.

    Akivutiwa na utumiaji wa tandaa, ameamua kuanzisha kikundi chake na kukipa jina la tandaa ikiwa ni moja ya njia ya kuienzi tandaa kwa kushirikana na vijana wake watatu ambao amewapa mafunzo ya utumiaji wa tandaa.