4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: A - Z > T
Results: 14 to 14 of 27
  • The Mafik

    Country  Tanzania
    Genres band pop bongo flava
    Website www.kwetustudios.co.tz
    Facebook /TheMafikTz
    FestivalSauti za Busara 2020
    Recordings📼

    Passenger, 2018; Carola, 2018; Sheba, 2018; Niwaze ft Ruby, 2018; Dodo, 2018; Sio Mbaya ft Ben Pol, 2018; Nibebe, 2018; Bobo, 2019

    THE MAFIK - PASSENGER (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

    The Mafik
    The Mafik

    The Mafik ni bendi ya afropop ya kitanzania kutoka Dar es salaam ambayo ilianzishwa mnamo mwaka 2018. Tayari kundi hilo lina safu ya nyimbo maarufu ambazo ni pamoja na Passenger, Sheba, Niwaze (ft Ruby), Dodo, Sio Mbaya ft Ben Pol, Nibebe na Bobo. The Mafik wamefanya maonyesho kote nchini Tanzania na pia huko Ubelgiji na Afrika Kusini.

     

    Mnamo Agosti 2019, janga liligonga kikundi hicho, mwili wa Abdallah Yusuf Matimbwa aka Mbalamwezi, mmoja wa waasisi wa kundi ulipatikana kwenye mitaa ya Dar es salaam ukiwa ni maiti. Ilionekana alikuwa mwathirika wa mauaji ya kikatili. Mpaka wakati makala hii inaandikwa, uchunguzi wa polisi bado unaendelea.

    Nafsi yake ipumzike kwa amani!