Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava
Artists: By Country > Malawi
Results: 3 to 3 of 5
Results: 3 to 3 of 5
Madalitso Band
Country Malawi Genres traditional Festival Sauti za Busara 2017 Recordings 📼 Fungo Lanyemba, 2009
Kikundi cha Madalatso kiligindulikana mwaka 2009 walipokuwa wakipiga nyimbo zao majianina nje ya maduka huko Malawi. Muandaajiwa muziki Emanuel Kamwenje aliwapenda namna wanavyoimba na kucheza kwa shangwe kubwa na furaha hivyo akaamua kurekodi nao albamu yao ya “’Fungo Lanyemba”.
Wanatumia kinanda kinachoitwa “babatone” ambacho hutengenezwa kienyeji tu, kinanda hichi kinapendwa sana na watu wa malawi. Pia wanatumia gitala nyuzi nne.
Wanapokuwa hawana kazi za muziki, mpigaji Babatone anafanya kazi za bustani na mpigaji gita ni mlinzi. Kwa sasa wanaandaa albamu yao ya pili.
with thanks to Big Round Boat