Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava
Artists: Genre > taarab
Results: 29 to 29 of 34
Results: 29 to 29 of 34
Taarab - Kidumbak Group
Country Zanzibar Genres acoustic taarab traditional Website www.zanzibarmusic.org Festival Sauti za Busara 2017 Kikundi cha Taarab-Kidumbaki kimeanzwishwa mwaka 2014 na ni mkusanyiko wa wanafunzi na walimu kutoka Dhow Country Music Academy (DCMA). Kilianzishwa kwa madhumuni ya kushiriki kwenye mashindano huko nchini Marekani.
Tangu kuasisiwa kwake kikundi hichi cha Kidumbaki kimeshiriki kwenye matamasha tofauti duniani. Mwezi wa Juni mwaka 2015, walitembelea na kushiriki kwenye tamasha la Africa Festival linalofanyika mjini Wurtzburg huko Ujerumani, ambapo kikundi cha Taarab-Kidumbaki kiliiwakilisha Zanzibar kwenye tasnia ya muziki wa kiutamaduni. Tamasha hilo pia lilihudhuriwa na Raisi wa Zanzibar. Mwaka huo huo, kikundi hichi pia kilishiriki kwenye tamasha la Brave nchini Poland.