Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava
Artists: Year > 2017
Results: 33 to 33 of 35
Results: 33 to 33 of 35
Wahapahapa Band
Country Tanzania Genres band fusion traditional Website www.wahapahapa.com Festival Sauti za Busara 2009, 2017 Recordings 📼 Tanz Rock, 2008
Wahapahapa ni kundi la wanamuziki wa kitanzania ambao wanamakusidio ya kuusambaza muziki wa kitanzania na lugha ya kisawhili kupitia mashairi ya nyimbo zao, kwenda nchi tofauti ili sanaa ya muziki wa kiswahili na maisha ya mswahili yafahamike duniani.
Muziki wao ni kutoka hapahapa ndio maana wakaitwa Wahapahapa. Ijapokuwa wakati mwengine muziki wao unachanganywa na miziki ya asili tofauti ili kunogesha utamu tu!
Wameshiriki matamasha mengi hapa Tanzania na hata nchi nyenginezo wakishirikiana na wasanii wa nchi tofauti.