Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava
Artists: Most Popular
Results: 375 to 375 of 441
Results: 375 to 375 of 441
Mcharuko Band
Country Zanzibar Genres band pop fusion Website www.zanzibarmusic.org Festival Sauti za Busara 2017 Kikundi hichi cha Mcharuko kimeundwa mwaka 2015 na wasanii watano waliobobea kwenye sanaa hii ya muziki, wasanii hawa ni wanafunzi kutoka chuo cha muziki Zanzibar (Dhow Countries Music Academy).
Bendi iliundwa kwa madhumuni ya kufanya maonyesho ya kila wiki kwenye bustani za Forodhani au hata kwenye maeneo mengine ambayo wataruhusika kupiga muziki bila ya kiingilio. Madhumuni makubwa ni kuwasogezea wananchi sanaa ya muziki asilia.
Mcharuko kama jina linavyomaanisha, wanapokuwa jukwaani hucharukwa na kutumbuiza kwa ushabiki mkubwa. Vijana hawa piawanapiga aina tofauti za muziki kama vile jazz, fusion, afro jazz na taarab.