4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: By Country > Mali
Results: 5 to 5 of 5
 • Thaïs Diarra

  Country  Senegal Mali Switzerland
  Genres roots urban hiphop fusion
  Facebook /thaisdiarra
  FestivalSauti za Busara 2015, 2020
  Recordings

  Metisse, 2014; Danaya, 2016

  Thaïs Diarra - Al dioulo faye (album Danaya)

  Thaïs Diarra
  Thaïs Diarra

  Thaïs Diarra ni mwimbaji mpya wa muziki wa soul mwenye asili ya Mali na Senegal. Alizaliwa nchini Uswizi, kwa mama anayependa muziki na baba anayependa kucheza. Kiini cha muziki wake kinapatikana katika mchanganyiko wa kipekee wa vyombo vya Afrika Magharibi kama vile kora na balafon, pamoja na rege, mbalax, maonyesho ya mlangoni na ushawishi mwingine. Muziki wake unaweza kuelezewa kama 'afro soul'. Thaïs Diarra huandika nyimbo kwa Kiingereza, Kifaransa, kiwolof na kibambara. Wakati wa kusherehekea udugu, uvumilivu na matumaini, pia katika nyimbo zake huongelea changamoto zinazowakabili waafrika wanaoishi nyumbani na nje ya nchi.

  Pro_Helvetia_logo_magenta_en
  This project is supported by the Swiss Arts Council, Pro Helvetia Johannesburg