Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava
Artists: Most Popular
Results: 407 to 407 of 441
Results: 407 to 407 of 441
Kikundi cha Idara ya Utamaduni
Country Zanzibar Genres acoustic traditional dance Festival Sauti za Busara 2023 Kikundi hicho kiliundwa chini ya Idara ya Utamaduni kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ya Zanzibar tangu mwaka 1995.
Kikundi hiki kinajumuisha wapiga ngoma, wanaume na wanawake wengi, waimbaji na wacheza densi ambao wanadumisha, kuhifadhi na kuendeleza urithi wetu wa kitamaduni. Wanacheza ngoma za aina mbalimbali za asili kutoka Tanzania nzima ikijumuisha kyaso, mkurungu, msihaya, soba, msewe, gonga, kiumbizi, mdalamga, kituwatuwa na zaidi.
Kikundi cha Idara ya Utamaduni kimetumbuiza katika matamasha mengi ikiwemo Korea, Dubai, Oman na India.
Usikose fursa ya kufurahia onyesho lao katika Sauti za Busara 2023.