Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava
Artists: Genre > rock
Results: 7 to 7 of 16
Results: 7 to 7 of 16
Ithrene
Country Algeria Genres rock jazz traditional fusion Facebook /ITHRENE-183986109494 Festival Sauti za Busara 2019 Recordings 📼 NEW TINDI, 2011; EL MAHFEL, 2017
Ithrene inatoka katika kitongoji cha Oum El Bouaghi, Mashariki mwa Algeria. Kikundi hicho kilianzishwa rasmi mwaka 1992 na ndugu wanne, Rabah, Yazid, Hichem na Mohsen Ferrah, pamoja na marafiki zao Aziz Rabia, Zven na Ramzi Khelifi.
Wanafanya muziki wenye changanyiko zaidi na vifaa vya umeme ili kuwapagawisha mashabiki wao. Ithrene wameshafanya zaira ya kimuziki sehemu mbalimbali nchi Aljeria, Ufaransa, bila ya kusahau maonyesho yao ya kukumbukwa mpaka sasa katika taasisi ya Arab World jijini Paris, nchin Ufaransa. Mpaka sasa wameshatoa albamu nne Imazighen, New Tindi, El Mahfel na El Fouchi.
With thanks to Onda