Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava
Artists: A - Z > J
Results: 8 to 8 of 16
Results: 8 to 8 of 16
Jembe Culture Group
Country Tanzania Genres traditional Festival Sauti za Busara 2012 Kundi lilianzishwa rasmi mwaka 2006 na vijana watatu kutoka katika mkoa wa Dodoma wanaume wawili na mwanamke mmoja katika jiji la Dar es Salaam.
Mwaka 2009 waliongezeka watu watatu zaidi na kufikia watu sita ndani ya mwaka mmoja baadae ikafikia idadai ya watu 13 ambao ndio wapo na kikundi mpaka sasa . kikundi makazi yake makuu ni Dar es salaam katika kitongoji cha Mbezi na hufanya maonyesho yao katika kijiji cha makumbusho mara mbili kwa wiki.
Kundi limefanikiwa kurekodi albamu yake mnamo mwaka 2010 na bado wapo katika harakati za kurekodi video.
Kundi linatumia vifaa tofauti vinavyotumiwa kabila la wagogo kutoka Dodoma kama malimba, zeze, manyanga, njuga na aina tofauti ya ngoma.