Sjava
Country South Africa Genres roots urban pop hiphop fusion Website /wiki/Sjava Facebook /Sjava_atm Festival Sauti za Busara 2022 Recordings 📼Isina Muva, 2016; Umphako EP, 2018; Umqhele, 2018; Umsebenze EP, 2020 Jabulani Hadebe almaarufu Sjava, mzaliwa wa Kwa Zulu Natal, South African, mwanamuziki mbunifu wa hiphop na R&B iliyochanganyika na midundo ya kiasili.
Umaarufu wake ulikuwa alipoanza kuonekana kwenye filamu mwaka 2005, alionekana kwenye filamu uGugu no Andile na the drama series Zone 14, ikafuata misimu mitatu mfululizo. Sjava alijitosa kwenye tasnia ya muziki na kupata umaarufu baada ya kumshirikisha Miss Pru's katika nyimbo “Ameni” mwaka 2015.
Albamu ya kwanza ya Sjava ilikwenda kwa jina, Isina Muva (2016) ambapo aliweza kuutambulisha muziki wake ambapo alichanganya afrobeats, hiphop pamoja na R&B ya kisasa. Albamu ilimpatia sifa na kufanikiwa kupata tuzo za SAMA kama albamu bora. Award for Best Produced Album. Albamu yake ya pili iliyompatia sifa ni “Umqhele” (2018) akaendelea kutambulisha ubunifu wake na kushinda tena tuzo za SAMA kama Albamu bora ya Mwaka.
Sjava alijiongezea umaarufu kimataifa kupitia nyimbo yake ‘Season’ kushirikishwa kwenye filamu ya Black Panther mwaka 2018, mwaka huohuo Sjava akashinda tuzo za BET kama Best New International Act.
With thanks to 1020 Cartel: https://1020cartel.com/
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava