Stone Town Rockerz
Country Zanzibar Genres blues pop rock reggae Facebook /omollo12 Instagram Festival Sauti za Busara 2019, 2021, 2023 Recordings 📼Kuna Kichwa, 2019 Stone Town Rockerz ina waimbaji wa bendi kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania Bara na Zanzibar, waliokutana na kujiunga katika Chuo cha Muziki cha Dhow Countries. Kwa mchanganyiko wa kitamaduni, hii hufanya muziki wao kuwa wa kipekee kwani wao pia huchanganya midundo ya ndani ,afrobeat na Latino na mitindo ya kimagharibi kama vile roki, jazz na roots reggae.
Ikipata hamasa kutoka kwa Remmy Ongala, Siti bint Saad, Bi Kidude, Miriam Makeba, Fela Kuti, B.B King, Bob Marley na Ali Farka Toure, bendi hiyo inapiga nyimbo zinazozungumza vyema na watu wa Afrika Mashariki na kwingineko. Wamewahi kutumbuiza katika matamasha mbalimbali ikiwemo Sauti za Busara, Paza Festival, Marafiki na Mashariki.
“Stone Town Rockerz remind me of Mali’s famous orchestra, Les Ambassadeurs. The lead singer looks dapper in his white linen shirt and trousers, black Homburg and natty dreads, as he serves up his honey-soaked tunes straight from the poppier end of the Motown spectrum. The music feels light, easy, delightful, like the islands that gave it birth”. – Andy Morgan, The Arts Desk
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava