4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Mamy Kanouté
Results: 1 to 1 of 1
  • Mamy Kanouté

    Country  Senegal
    Genres traditional urban roots fusion
    Facebook /kanoutemamy
    FestivalSauti za Busara 2020
    Recordings📼

    Mousso Lou, 2012; new album to be released in 2020

    Mamy Kanouté feat Baaba Maal '' Mousso Lou '' you Partage YouTube

    Mamy Kanouté
    Mamy Kanouté

    Mamy Kanouté alizaliwa katika familia ya Griot nchini Senegal. Mara kwa mara ameshirikiana na wanamuziki wengi kutoka nchini Senegal kama Youssou N'Dour, Baaba Maal, Omar Pène, na Didier Awadi. Hivi karibuni, Mamy Kanouté aliingiza sauti yake katika sinema ya Black Panther ya nchini Marekani. Hivi sasa anaifanyia kazi albamu yake ya tatu chini ya mtayarishaji kutoka uswizi Fred Hirschy, kazi mpya itakayochukua mahadhi ya hip hop, sauti za kisasa na mivuto ya kieletroniki huku akibaki katika ukweli na kiini cha utamaduni wake.

    travel sponsor Mamy Kanouté karantaba records
    With thanks to Karantaba Records