4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Mannyok
Results: 1 to 1 of 1
 • Mannyok

  Country  Mauritius
  Genres pop reggae roots fusion
  Website www.mannyok.bandcamp.com
  Facebook /mannyok.music
  FestivalSauti za Busara 2020
  Recordings

  Mannyok, 2013

  SAKUYE MANNYOK

  Mannyok
  Mannyok

  Mannyok ni moja ya kikundi kinachoongoza kuupeleka muziki wao nje ya mipaka ya kisiwa cha Rodrigues, Mauritius. Vionjo na Nguvu zimejikita katika tamaduni zao, pamoja na nyimbo za asili na tafsiri za maisha ya kawaida. Muziki wao umetungwa na wasanii na wenye taswira mbalimbali, huchanganya hisia tofauti ikiwemo vionjo gitaa la bezi  kodiani, banjo, gambusi, n'goni, ngoma, conga, 'balié koko', ' tok tok ',' kes mannyok ',' zing zing 'na ala mbalimbali.

  This project is supported by an ANT Mobility Grant from Pro Helvetia Johannesburg financed by the Swiss Agency for Development and Cooperation (SDC).
  This project is supported by an ANT Mobility Grant from Pro Helvetia Johannesburg financed by the Swiss Agency for Development and Cooperation (SDC).