Suzan Kerunen
Country Uganda Genres roots pop fusion Website www.musicinafrica.net Facebook /AlurQueen Festival Sauti za Busara 2022 Recordings Nimefika, 2006; Lek, 2008; Acher Achera, 2011; Pimar, 2019 On stage Feb 2022 Sat 12,  6:00pm Old Fort Main Stage
Suzan Kerunen, almaarufu Alur Queen muimbaji na mwandishi wa muziki kutoka Uganda. Muziki wake unahamasishwa na mchanganyiko wa midundo ya ngoma za Njige, Agwara na Ndara, kutoka kijijini kwao kaskazini mwa Uganda, vilevile anaimba kwa lugha yake ya asili Alur-Jonam pamoja na Kiswahili, kingereza na lugha nyingine.
Suzan Kerunen ameshachaguliwa mara mbili kwenye tuzo ya Kora all African music awards. Ameshafanya maonyesho kwenye matamasha mbalimbali ikiwemo Bayimba festival na Safaricom International Jazz festival.
Kerunen ni mwanzilishi wa Pearl Rhythm Festival na Know Your Culture Foundation, zenye lengo la kutafuta, kufundisha na kuelewesha utamaduni wa Uganda, na kuutangaza utalii wa utamaduni kwa maendeleo.
With thanks to Alliance Françsise Kampala: https://afkampala.org/
Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Cape Verde Comoros Congo Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava