4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: A - Z > F
Results: 6 to 6 of 10
 • Fid Q

  Country  Tanzania
  Genres hiphop pop urban
  Website www.youtube.com
  Facebook /FidHop
  FestivalSauti za Busara 2007, 2019
  Recordings

  Vina Mwanzo Kati na Mwisho, 2009; Propaganda, 2011; Kitaaolojia, 2018

  Fid Q - Fresh ( Official Music Video)

  Fid Q
  Fid Q

   Fareed Kubanda, aka Fid Q ni miongoni wa wasanii nguli wa hiphop wa Tanzania. Uelewaji wake wa kijamii na ufahamu wa kisiasa pamoja na ustadi Mkubwa wa uchanganyaji wa mashairi umemfanya awe katika hadhi ya juu tasnia ya Rap.

   

  Fid Q imetoa albamu mbili kali zilizopata tuzo nchini Tanzania. Kwa sasa anamalizia albamu ya tatu yenye jina la Kitaaolojia. Katika kuungannisha wakongwe na vijana Fid Q ameshaimba na Bi Kidude, Zahir Ally Zoro, Maua Sama, AY, Mzungu Kichaa, witness na Stamina.

  Pia ameshawahi kufanya vipindi vya Televisheni na kuongoza semina za wasanii kuhusu mambo muhimu ya wasanii na haki zao.