Results: 7 to 7 of 31
Afrigo Band
Country Uganda Genres band rumba Facebook /AfrigoBand Festival Sauti za Busara 2019 Recordings 📼 Batuuse; Zalwango; Oswadde Nnyo; Jim; Christina; Julie; Bwenkanya; Bagikwongere; Afrigo Batuuse; Abaana Ba; Kukusangana; Vicent; Tugende Mu Afrigo (1975 to date)
Afrigo Band ilianzishwa na Moses Matovu na marehemu Charles Sekyanzi mwaka 1975. Wanacheza mitindo na nyimbo mbalimbali za kwao na kopi. Afrigo Band ilipitia wakati mgumu wakati wa Serikali ya Idi Amin na Obote, wakati wanatoa burudani kwa raia. Afrigo ni bendi yenye miaka 42 ni moja ya bendi kongwe katika ukanda wa Afrika Mashariki. Bendi hii imesharekodi albamu 15 ambazo zinajulikana sana na vijana na wazee. Afrigo Band wameshafanya ziara ya kimuziki katika bara la Asia, Ulaya na Amerika. Onyesho lao la kwanza kabisa katika tamasha la Sauti za Busara litadhihirisha hayo.
With thanks to Africalia