Press Kiswahili

  • This mailing list is a public mailing list - anyone may join or leave, at any time.
  • This mailing list is announce-only.

Orodha hii ya kutuma barua imekusudiwa tu kueneza habari zinazohusu Tamasha la Sauti za Busara kwa vituo au vyombo vya habari

Privacy Policy:

Sera faragha ya, Busara Promotions Press : Barua pepe zote katika orodha hii itatumika kwa madhumuni ya kukujuza shughuli zote zinazoendelea Busara Promotions. Hazitatolewa wala kupewa mtu mwingine au taasisi yeyote.

Archived Messages

 

Press Kiswahili Message

March 23rd 2022 MDT

  Baada ya miaka 19 ya kusherehekea tamaduni tofauti na muziki wa Kiafrika, pazia la Sauti za Busara linafungwa   Zanzibar: Kwa huzuni na masikitiko makubwa, Busara Promotions inatangaza kusitisha shughuli zake ifikapo tarehe 31 Machi 2022, kutokana na ukosefu wa rasilimali fedha. Bila fedha za kulipa gharama za ofisi au mishahara, haiwezekani tena kwa taasisi inayosifika kimataifa kuendelea. Tangu kusajiliwa kwake Zanzibar mnamo Machi ...Continue Reading

Press Kiswahili Message

February 15th 2022 MDT

*Taarifa kwa vyombo vya Habari* *Februari 14, 2022* *Sauti za Busara lahitimishwa huku Serikali ikiahidi kulisaidia tamasha hilo* *Zanzibar*. Tamasha la 19 lenye hadhi ya kimataifa linalofahamika kwa jina la Sauti za Busara lilifikia kikomo usiku wa Jumapili baada ya burudani ya nguvu ya siku tatu ambalo lilifanyika katika eneo la Ngome Kongwe, Stone Town. Tamasha la 2022 lilifanyika chini ya Kauli mbiu: ‘Paza Sauti’. Katika hotuba yake ya ufunguzi, mkurugenzi wa tamasha hilo, Yusuf Mahmoud alibainisha kwamba kat ...Continue Reading

Press Kiswahili Message

February 9th 2022 MDT

*Taarifa kwa vyombo vya habari* *Februari 11, 2022* *Sauti za Busara 2022 inaanza leo* *Zanzibar.* Sauti za Busara, moja ya tamasha zinazoongoza barani Afrika, inaanza leo Ngome Kongwe, Stone Town huku wasanii mbalimbali kutoka Tanzania na sehemu nyingine za Afrika wakitarajia kutumbuiza mubashara. Mbali na vikundi vinne vilivyo wahi kutumbuiza katika tamasha hilo, vingine vyote vinashiriki tamasha hilo kwa mara ya kwanza. Akizungumza mjini Zanzibar siku ya Alhamisi, Mkurugenzi wa tamasha hilo Yusuf Mahmoud amewata ...Continue Reading

Press Kiswahili Message

January 31st 2022 MDT

*TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI* *Tamasha la Sauti za Busara kuendelea kuteka hisia* *Zanzibar, Februari 1:* Tamasha la Sauti za Busara litarindima tena Mji Mkongwe, Zanzibar kuanzia Februari 11 hadi 13 huku likiwa na kauli mbiu ya ‘Tunakomaa!’. Mwaka 2020 na 2021 haikuwa miaka mizuri kwa wasanii, wabunifu na utalii wa kitamaduni kulingana na changamoto ulioletwa Uviko-19. Sauti za Busara kwa sasa huenda ndiyo tamasha pekee lenye uzoefu wa muziki unaofanyika mubashara wa Kiafrika ambalo hufanyika kila mwaka, linal ...Continue Reading

Press Kiswahili Message

January 27th 2022 MDT

** *TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI* *Wanamuziki ambao hutakiwi kuwakosa katika Tamasha la Sauti za Busara 2022* *January 28. *Tamasha la Sauti za Busara kwa miongo miwili iliyopita limekuwa na rekodi ya kuvutia ya kuonyesha vipaji vya baadhi ya wanamuziki wa Afrika katika tamasha hilo la kila mwaka ambalo limekuwa likifanyika tangu mwaka 2004. Tamasha la mwaka huu linalokwenda na kauli mbiu isemayo /“Paza Sauti: Uwezeshaji wa Sauti za Wanawake kusikika,”/ litafanyika  Ngome Kongwe, Zanzibar kuanzia Februari 11 h ...Continue Reading

Administration